Mbinu za kujifunza kitu mapema.

 Njia Rahisi za Kuboresha Uwezo Wako wa Kufikiri

1.Soma kitabu kila siku

2.Andika malengo na mawazo yako

3.Fanya mazoezi ya akili (puzzles, sudoku)

4.Pumzika vizuri na kulala kwa muda unaohitajika

5.Jadili mawazo na wengine ili kupanua mtazamo wako.

Maoni